Kachuma na Polisi wezi

 

Nicky Kachuma, kijana wa darasa la saba katika Shule ya Msingi ya Toredi, amefukuzwa shuleni kwa kukosa karo. Akiwa njiani kuelekea nyumbani anashuhudia gari la benki likivamiwa na wezi na pesa zote kuibwa. Anawajulisha polisi wanaochangamkia jambo hilo. Je, Kachuma atauawa au ataokoa pesa kupotea? Soma ili ufurahie uhondo huo.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark