Paka na Panya

 

Paka na panya walikuwa marafiki. Walifanya kazi yao na kuishi pamoja. Paka alikuwa mkulima hodari. Alinunua shamba kwa mkulima. Alipanda mahindi mengi. Mahindi yalifanya vizuri. Je, ni nani aliharibu mahindi ya paka? Soma ujue urafiki wa paka na panya.

 

You can purchase this book on Amazon or IngramSpark